mtanange tv
mtanange tv
  • 294
  • 2 133 428

Відео

🚨Uchambuzi EFM, Kaizer chiefs 0-4 Yanga,Tathimini dkk 90,namna Yanga imenufaika south Africa.
Переглядів 4,7 тис.23 години тому
#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangasc #yangatv #youtube #yangafc
🚨Ohoo Hajimanara Alipuka ,Yanga 4-0 Kaizer chiefs,Atuma ujumbe kuelekea Tarehe 8,Awalipua Simba.
Переглядів 1,2 тис.День тому
#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #youtube #yangatv
🚨EDOKUMWEMBE na Hans Rafael wainyooshea mikono Yanga,Yanga 4-0 Kaizer chiefs,Yanga wanatisha.
Переглядів 6 тис.День тому
#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube
🚨FULL TIME,YANGA 4-0 KAIZER CHIEFS,MAGOLI YOTE,DUBE,AZIZ KI,MZIZE,YANGA YA MOTO SANA,KOCHA GAMONDI🔥
Переглядів 810День тому
#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube
🚨Uchambuzi Cloudsfm,ISMAIL Aden Rage ATOA ujumbe kwa Simba Sakata la Kibu na kuelekea msimu ujao.
Переглядів 10 тис.День тому
#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangasc #yangatv #youtube #yangafc
🚨Uchambuzi Crownfm,Jezi Mpya za Yanga ubora na ubunifu wake ulivyo,Makubwa kutoka Yanga na Ngowi.
Переглядів 11 тис.День тому
#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube
🚨Uchambuzi Crownfm,Mapya Mazito Yanayoendelea Simba,Kocha amuelewi Onana kambini,Anataka mchezaji.
Переглядів 4,8 тис.День тому
#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangasc #yangatv #youtube #yangafc
🚨Uchambuzi Wasaffm,Mapya kutoka Yanga,Kauli ya C.E.O Mtine na uzinduzi wa jezi Mpya,Yanga nitishio.
Переглядів 9 тис.День тому
#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube
🚨Uchambuzi EFM,Mazito kutoka Simba, Ahmedally Afunguka Vingi,sakata la Golikipa Mpya na Lakred,Kibu.
Переглядів 8 тис.День тому
#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube
🚨Uchambuzi Crownfm,C.E.O Mpya Simba, na Takwimu zake Mwandishi kutoka Rwanda amzungumzia kwa undani.
Переглядів 2,3 тис.День тому
#football #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbaislive #simbatanzania
🚨Uchambuzi EFM,Kocha Julio Afunguka Kinachoendelea Kambini,kocha hamtaki Onana,anahitaji no 10 Mpya.
Переглядів 10 тис.День тому
#football #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbatanzania #simbaislive
🚨Uchambuzi Wasaffm,Ujio wa C.E.O Mpya Simba na CV Zake atakuwa na msaada kwenye kikosi cha Simba.
Переглядів 1,9 тис.День тому
#football #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbatanzania #simbaislive
🚨Ohoo!KIMEUMANA JEMEDARSAID AFICHUA KLABU KUTOKA NORWAY IMETUMA BARUA SIMBA,SIMBA WATAKA BILION 2.7.
Переглядів 2,6 тис.День тому
#football #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbatanzania #simbaislive
🚨Uchambuzi Crownfm,Imefichuka Aliemvuruga Kibu Denis,Meneja wa mwanzo wa Kibu yazidu Afunguka.
Переглядів 1,8 тис.День тому
#football #alikamwe #simba #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simbatanzania #simbaislive
🚨Uchambuzi EFM,Mapya ya kibu Denis Yaibuka,inshu ya Kutua Yanga,mapya kutoka Tff wafunguka inshu hii
Переглядів 10 тис.День тому
🚨Uchambuzi EFM,Mapya ya kibu Denis Yaibuka,inshu ya Kutua Yanga,mapya kutoka Tff wafunguka inshu hii
🚨Uchambuzi Wasaffm,LIVE kutoka South Africa,Alikamwe Afunguka Vingi,Sakata la Jezi Yanga na kikosi.
Переглядів 12 тис.День тому
🚨Uchambuzi Wasaffm,LIVE kutoka South Africa,Alikamwe Afunguka Vingi,Sakata la Jezi Yanga na kikosi.
🚨Uchambuzi Crownfm,MPANZU ASILIMIA 95 NI MALI YA SIMBA,Wakala wake Afunguka mazito,Kutua jumamosi Tz
Переглядів 14 тис.День тому
🚨Uchambuzi Crownfm,MPANZU ASILIMIA 95 NI MALI YA SIMBA,Wakala wake Afunguka mazito,Kutua jumamosi Tz
🚨Uchambuzi Wasaffm,Mapya kutoka Misri,Meneja wa Simba Patrick Rweymamu, Afunguka mikakati mizito.
Переглядів 2,7 тис.День тому
🚨Uchambuzi Wasaffm,Mapya kutoka Misri,Meneja wa Simba Patrick Rweymamu, Afunguka mikakati mizito.
🚨Uchambuzi Crownfm,Mapya kutoka Simba,Matukio makubwa 2,Uzinduzi wa jezi na ubora wake,Simba week.
Переглядів 2,5 тис.День тому
🚨Uchambuzi Crownfm,Mapya kutoka Simba,Matukio makubwa 2,Uzinduzi wa jezi na ubora wake,Simba week.
🚨Uchambuzi Crownfm,Mengi kutoka Yanga,Kauli ya Dube,Vital O yathibitisha kuleta mechi chamazi.
Переглядів 9 тис.День тому
🚨Uchambuzi Crownfm,Mengi kutoka Yanga,Kauli ya Dube,Vital O yathibitisha kuleta mechi chamazi.
🚨Uchambuzi EFM,Majina yaliyotolewa yakuwania Tuzo za ligi kuu msimu uliopita,nani anastahili kupata?
Переглядів 802День тому
🚨Uchambuzi EFM,Majina yaliyotolewa yakuwania Tuzo za ligi kuu msimu uliopita,nani anastahili kupata?
🚨Uchambuzi Wasaffm,Meneja wa Kibu Live akifunguka,sababu za Kibu kuondoka kimyakimya, mambo yalipofi
Переглядів 16 тис.День тому
🚨Uchambuzi Wasaffm,Meneja wa Kibu Live akifunguka,sababu za Kibu kuondoka kimyakimya, mambo yalipofi
🚨Uchambuzi Crownfm,Yanga 1-0 Ts galaxy, Tathimini dkk 90,ubora unaongezeka,kiwango cha mzize Utata.
Переглядів 18 тис.День тому
🚨Uchambuzi Crownfm,Yanga 1-0 Ts galaxy, Tathimini dkk 90,ubora unaongezeka,kiwango cha mzize Utata.
🚨Uchambuzi EFM,Kocha Julio AMLIPUA Kibu Denis kwa alichokifanya,huu ni utapeli kama utapeli mwingine
Переглядів 29 тис.День тому
🚨Uchambuzi EFM,Kocha Julio AMLIPUA Kibu Denis kwa alichokifanya,huu ni utapeli kama utapeli mwingine
🚨Uchambuzi Wasaffm,Yanga 1-0 Ts galaxy,Tathimini dkk 90,Viwango vya wachezaji,Duke abuya kakiwasha.
Переглядів 12 тис.День тому
🚨Uchambuzi Wasaffm,Yanga 1-0 Ts galaxy,Tathimini dkk 90,Viwango vya wachezaji,Duke abuya kakiwasha.
🚨Uchambuzi EFM,C.E.O wa Simba ATOA neno,Uongo wa Kibu kila alichokizungumza,nani alaumiwe kwenye hil
Переглядів 9 тис.День тому
🚨Uchambuzi EFM,C.E.O wa Simba ATOA neno,Uongo wa Kibu kila alichokizungumza,nani alaumiwe kwenye hil
🚨Uchambuzi Wasaffm,Msimamizi mwingine wa Kibu Afunguka Kibu kutoroshwa Kuna watu wapi nyuma ya Kibu.
Переглядів 8 тис.День тому
🚨Uchambuzi Wasaffm,Msimamizi mwingine wa Kibu Afunguka Kibu kutoroshwa Kuna watu wapi nyuma ya Kibu.
🚨Uchambuzi Crownfm,Mapya Mazito kuhusu Kibu Denis,Simba watoa tamko zito,Jemedarsaid aweka waziukwel
Переглядів 20 тис.День тому
🚨Uchambuzi Crownfm,Mapya Mazito kuhusu Kibu Denis,Simba watoa tamko zito,Jemedarsaid aweka waziukwel
🚨Mapya kutoka Simba,Jezi kuzinduliwa mikumi,Ayoub lakred na sakata la Kibu Denis.
Переглядів 3,8 тис.День тому
🚨Mapya kutoka Simba,Jezi kuzinduliwa mikumi,Ayoub lakred na sakata la Kibu Denis.

КОМЕНТАРІ

  • @mgawesaid5137
    @mgawesaid5137 22 години тому

    Rand 5000 x148=740000Tsh

  • @mzansi27
    @mzansi27 22 години тому

    Huyo kiazi anayesema milioni 13, wakati ni Rand siyo Dollars. Kwa Rand hiyo ni Laki 7

  • @geraldmakoba2618
    @geraldmakoba2618 22 години тому

    Ni Rand sio USD hiyo ni laki kama saba na change kidogo

  • @eliasmsira2025asdfghjkl
    @eliasmsira2025asdfghjkl 22 години тому

    Yanga Tam 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KhamisMouktar-kk2yq
    @KhamisMouktar-kk2yq 22 години тому

    Ni Rand siyo Dollar hiyo zawadi ni sawa na 3,575,000/=

  • @AmeirAlly-tn8hw
    @AmeirAlly-tn8hw 23 години тому

    Kiukweli mkiendelea hivi hivi kuchambua kiukweli mtavutia watu wengi sana ktk LIGI ya NBC,

  • @georgepewa9624
    @georgepewa9624 23 години тому

    Yanga wanajezi bora sana

  • @GosbertByabato
    @GosbertByabato 23 години тому

    Yanaga nimoto moto ,wacha wakaisome namba Hongela ufunguo Samani kwa zawadi nono,

  • @davidsuleman233
    @davidsuleman233 23 години тому

    Yanga ni product ya mabadiliko kuazia uongozi mpk mfumo wa uendeshaji wa timu Nabi kaondoka mpk leo anamuda gani acheninuchambuzi wakishamba

  • @davidsuleman233
    @davidsuleman233 23 години тому

    Hiyo kauli ya kwamba yanga ni product ya nabi nakataaa mpk kesho

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p 23 години тому

    Kumbukeni Azizk alisema nileteni dube

  • @rachelsimon2876
    @rachelsimon2876 23 години тому

    Magoma yu wapi?

  • @zubeydamahmoud-gq2hq
    @zubeydamahmoud-gq2hq 23 години тому

    Rand 1 = tzs 148.

    • @jovinelusato4887
      @jovinelusato4887 23 години тому

      Wachambuz wa mchongo hesabu Aaaaaah

    • @user-tj9pm2cd5x
      @user-tj9pm2cd5x 22 години тому

      Kapewa 5000 rand

    • @selemanmussa3459
      @selemanmussa3459 22 години тому

      Jamaa anarudia mara hamsini "milioni kumi na tatu" Hawa watu wana shida sana asee...ilitakiwa kila mtu kabla ya kuanza kupanua mdomo awe anaonyesha cheti cha kitu anachoongea...misinforming the public should be treated as a serious crime...

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 23 години тому

    Habari ya kwamba Gamondi alitembelea upepo wa Nabi, hiyo si sahihi! Ukweli ni kwamba,Gamond alikuta msingi mzuri,akaanza kuweka vitu vyake bila kuathili msingi alioukuta,Hapa ndipo panahitaji ujuzi wa kocha. Kumbukeni kilichotokea Man utd. Furgason aliondoka pale akiacha kikosi bingwa wa EPL, lakini kutoka siku ile mpaka leo ni hadithi tofauti kabisa!!!

  • @ramamakelo3780
    @ramamakelo3780 23 години тому

    738,676 shilling vilaza nyinyi wachambuzi wa mchongo

  • @dr.edmundbmgeni486
    @dr.edmundbmgeni486 23 години тому

    Nyie wachambuzi hamjielewi. Mpeni credit Gamondi Bwana. Tunakubali Nabi Kwa wakati wake but sasa ni Gamondi. Mpeni maua yake mtaumbuka baadaye

  • @Johnsonchristopher-uc5er
    @Johnsonchristopher-uc5er 23 години тому

    Wachambuzi WA bongo wanakurupuka mhhhh Yani hata muwambiwe wapi

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 23 години тому

    Halafu kuna kipindi kimefanyika Jana kwenye television, unaona wazi kabisa ni kama wamezindua kampeni ya kumfanya FEISAL kuwa mchezaji bora wa msimu " mpeni tu huyo Fei,lakini Aziz ataendelea kuwaumbua uwanjani -- aibu kwenu na kampeni zenu "

  • @deonatusthomas2571
    @deonatusthomas2571 23 години тому

    Rand 5000 ni kama laki 7 na ushee. Nyie punguzeni pombe

  • @mgishakimuga2443
    @mgishakimuga2443 23 години тому

    738,676.00 Shilingi ya Tanzania sio million hzooo

  • @Almas120
    @Almas120 23 години тому

    Kama 730k...haikua usd ilikua rand

  • @paty11648
    @paty11648 23 години тому

    Rand 5,000 sio Milion 13,000,000/- TZS .Hao vilaza hawajui hesabu

  • @nassoroally123
    @nassoroally123 23 години тому

    5000 Rands sio Dollars

  • @nassoroally123
    @nassoroally123 23 години тому

    Sio milioni 13 kwa TZS

  • @btwelve1698
    @btwelve1698 23 години тому

    Kwa yanga hii magoma atulie tuu😅😅😅😅😅

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 День тому

    Timu tunayo hakuna siasa

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 День тому

    Hana furaha na Simba mwache aende

  • @lucasmadayu5470
    @lucasmadayu5470 День тому

    Huyu jamaaa.... kawapiga simba tena pakubwa sanaaaa... Haha55 😅😅😅😅😅😅😅😅😅..... FOLLOW @madayu_sports kwa Habari za michezo na burudani ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️

  • @MchichaMchicha
    @MchichaMchicha День тому

    Toka apo kwa fei toto uliona yupo sawa

  • @user-ik7km9rq1v
    @user-ik7km9rq1v День тому

    Arudishe gari na hela na ikibidi tuvikamate very simple

  • @user-ge3yd1tx5e
    @user-ge3yd1tx5e День тому

    kauli yetu "NYIE MNATAKAJE

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt День тому

    Kazi ipo kwa wachambuzi kila mtu na anachokijua yeye

  • @yusufmusonamusona6196
    @yusufmusonamusona6196 День тому

    Yaani vitenge vya batiki viwe identity ya taifa you are mad infact you are useless

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa День тому

    Jezi hizi ni kali sana zina mahadhi ya kiafrika I Love U Yanga

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h День тому

    Huyo kibu anatakiwa kufungiwa maisha asijihusishe na mpira ili iwe funzo

  • @chinashao4679
    @chinashao4679 День тому

    Mkimsifia feitoto mlijua hili litakuja kwenu????pole sana

  • @derrickmbaku4768
    @derrickmbaku4768 День тому

    Onana sijui nini kimemkuta

  • @athumanmsuya2688
    @athumanmsuya2688 День тому

    Kijana yupo kazi,naona hupeni hamasa anayoifanya we mchawi tu

  • @geoffreyrusibamayila8366
    @geoffreyrusibamayila8366 День тому

    Nakumbka enzi hizo tuliambiwa Fedha hizo zitakatwa pole pole kwenye kiingilio Leo nashangaa kusikia Rage anasema manji alilipa zote Mara moja ukweli no upi?

  • @geoffreyrusibamayila8366
    @geoffreyrusibamayila8366 День тому

    Huwezi kusema Hana mahaba hizi Ni issue mbili tofauti wengine mnatumiwa na Yanga enzi zako zimepita

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 День тому

    Jezi Kaliiii

  • @JohnJohn-fs8ex
    @JohnJohn-fs8ex День тому

    Uko vizuri kwenye kujibu maswali semaji la kimataifa

  • @YunussefuNagawa
    @YunussefuNagawa День тому

    Kumbe langi nyeupe mnaipenda 😊

  • @SeuriMollel-im5yw
    @SeuriMollel-im5yw День тому

    Kibu inaonekana hajasain simba

  • @adamuayubumwendolwa7723
    @adamuayubumwendolwa7723 День тому

    Watangazaji hata hawawajui wachezaji😅😅😅😅😅

  • @FurahaAngetile-fu4cv
    @FurahaAngetile-fu4cv День тому

    Nimekaelewa kweli ka kijani Mali halali kwa wananchi madunduka kaa mbali

  • @hamadramadhan8422
    @hamadramadhan8422 День тому

    Ila jezi ya yanga ni kali kinyama

  • @AbdulkhalimMbarouk
    @AbdulkhalimMbarouk День тому

    𝑆𝑖𝑚𝑏𝑎 𝑤𝑎𝑚𝑒𝑗𝑖𝑡𝑎ℎ𝑖𝑑 𝑖𝑙𝑎 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑛𝑖𝑠ℎ𝑖𝑑𝑎 𝑠𝑛 𝑘𝑖𝑙𝑎 𝑠𝑒ℎ𝑒𝑚𝑢

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv День тому

    Yanga mumekuja kuuwa habari mtaani za jezi za mtani😢😢😢😢

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 День тому

    Yanga Gani hii 😂😂😂hii ni GSM fc sio yanga😂😂😂

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv День тому

      Kule MO ENERGY FC JEZI ZIMEJAA MATANGAZO😂😂😂😂